Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,672
- 6,880
Salaam.
Mrs. wangu ametumia Dozi ya Azethromyzin vidonge 30 (2x3). Ni kwa ajili ya fungus na kutoa uchafu mweupe unaomtoka.
Sasa tangu ameanza imeonesha matumaini fulani lakini aliambiwa akimaliza arudie tena dozi hiyohiyo hata mara 3.
Je, ni sawa kurudia dozi hiyo?
Asanteni.