Azithromycin ni antibiotic lakini pia hutumika kutibu magonjwa ya ngono(STD's)kama gonorrhea.Hivi azithromycin ni antifungal kweli!?
Ngongwa ndo nini mkuu??U.T.I
Ukitaka kuikomesha tumia Ngongwa saba asubuhi na anywe maji Lita moja kabla yakula chochote kwa mda wa Siku saba
Kama imekomaa ni siku 14 ukifanikiwa lete mrejesho.
Sasa kama mlengwa ni gonorrhea,hizo dozi tatu ni aje!Azithromycin ni antibiotic lakini pia hutumika kutibu magonjwa ya ngono(STD's)kama gonorrhea.
Hiyo sio dawa ya fungus ni ya kuuwa vimelea aina ya bacteria,kwa dalili hizo za uchafu mweupe ukeni yawaza kuwa fungus ila je anawashwa ukeni?ushauri nenda hospitali na si duka la dawa maana nahisi hiyo dawa umepewa na mtu baki si daktari au mtoa huduma za afya mweny uwelediSalaam.
Mrs. wangu ametumia Dozi ya Azethromyzin vidonge 30 (2x3). Ni kwa ajili ya fungus na kutoa uchafu mweupe unaomtoka.
Sasa tangu ameanza imeonesha matumaini fulani lakini aliambiwa akimaliza arudie tena dozi hiyohiyo hata mara 3.
Je, ni sawa kurudia dozi hiyo?
Asanteni.