Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
FIFA na UEFA wamepiga ban vilabu na timu ya taifa ya Urusi kushiriki mashindano yao. Je, hatua kama hii ni sahihi kwa chombo cha kimataifa kinachohubiri neutrality kama FIFA? Mbona hawakuiban Uingereza, Ufaransa, Marekani nk walipokuwa wakivamia nchi ya Libya na zile za mashariki ya kati?
Stopping one war is better than none.FIFA na UEFA wamepiga ban vilabu na timu ya taifa ya Urusi kushiriki mashindano yao. Je, hatua kama hii ni sahihi kwa chombo cha kimataifa kinachohubiri neutrality kama FIFA? Mbona hawakuiban Uingereza, Ufaransa, Marekani nk walipokuwa wakivamia nchi ya Libya na zile za mashariki ya kati?
Mbona serikali ikiingilia maswala ya michezo kwa lengo la kutatua migogoro kwenye mashirikisho ya mpira FIFA wanaifungia hiyo nchi kushiriki maswala ya mpira,kama lengo ni kuleta umoja??Mimi kwangu ni sahihi kwa sababu lengo juu la michezo ni kuleta umoja na amani. Sasa kama watu wanauwawa kama kuku bila sababu wananyamasaje kwa mfano.