MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Habari zenu wakuu,
Samahani naulizia ni sehemu gani Arusha ninaweza kupata watu ambao wataniwekea nembo kwenye T-Shirts na Bags.
Nataka kwenye T-Shirts nembo ziwekwe kwa njia ya nyuzi na maneno yatokee vizuri kwenye mfuko wa shati na mgongoni. Kwenye Bags nataka maandishi yachorwe na rangi lakini logo iwekwe kwa nyuzi.
Ahsante.