MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Ebu Njoo pm mara moja nina ujumbe wako mkuuNgoja wenyeji wa chugastan waje
Kijenge juu sehemu gani?Bablai sisi tupo apa kijenge jula kwa fasi tuna'print kwa rangi ila sio kwa Nyuzi kama unavyotaka,,Tuna T-Shirts kama zote za Arusha boy na Arusha girl ambazo zisha'printiwa tayari ila hata ukitaka ku'printiwa unavyotaka ni yente aikatai ila ni kwa rangi na sio nyuzi..
chini ya Round about ya Florida Kama sikosei amejiandika BM huyo jamaa nishida alikuwaga mteja wangu wa Rangi.Goliondoi kuna jamaa alikuwaga hiyo mitaa sijui kama badoyupo huyo jamaa ni shida.
Mjini kati dingoo kuna chaliangu anaitwa siwa ndo utamkuta me muda mwingi nipogo skuli.Kijenge juu sehemu gani?
Mkuu ahsante kuna mdau amkuja PM mchana nishachukua namba yake. Nashukuru sana.
Mkuu wa kuchora nshampata labda ntakuja kununua tu T-Shirts ambazo zimechorwa mlima kilimanjaro au wanyama. Last time nilinunua nyingi sana pale karibu na New Arusha Hotel.Bablai sisi tupo apa kijenge jula kwa fasi tuna'print kwa rangi ila sio kwa Nyuzi kama unavyotaka,,Tuna T-Shirts kama zote za Arusha boy na Arusha girl ambazo zisha'printiwa tayari ila hata ukitaka ku'printiwa unavyotaka ni yente aikatai ila ni kwa rangi na sio nyuzi..
Mbona sasa hueleweki?Mara kijenge juu Mara mjini kati?Mjini kati dingoo kuna chaliangu anaitwa siwa ndo utamkuta me muda mwingi nipogo skuli.
Baridi Barafu MwambaMkuu wa kuchora nshampata labda ntakuja kununua tu T-Shirts ambazo zimechorwa mlima kilimanjaro au wanyama. Last time nilinunua nyingi sana pale karibu na New Arusha Hotel.
Wako wengi na nnawafahamu wote chaliangu.Mbona sasa hueleweki?Mara kijenge juu Mara mjini kati?
Unamfahamu mwenye hiyo brand ya Arusha boy/girl ?
Nitajie mmoja mkubwa na anapopatikana?Wako wengi na nnawafahamu wote chaliangu.