chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
kitu ambacho nchi nyingi ukiona mmoja kumbeba mwenzake basi ni hizi sehemu mbili ambazo zina lindana kwa sababu zao binafsi.
hizi sehemu mbili zikitenganishwa na kuwa azifungamani kushirikiana basi haya yote tunayo sema sijui katiba mpya na demokrasia yatakuja bila kupingwa.
Nipo uganda ndio nilicho kiona na kueleza haya!