Ni Shabiki wa Manchester United lakini nitanunua uzi wa Chelsea

Hardlife

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2021
Posts
2,758
Reaction score
6,299


Kwakweli nitafanya hivyo.

Chelsea mmetoa uzi mkali sana. Japo tayari nimeagiza uzi wa Man U kutoka huko but naagiza na wa Chelsea.

Hongereni sana.
 
Hauna reflector kama ule mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…