Ni sharti gani la ajabu umewahi kupewa na mwenye nyumba wakati umepanga au unatafuta chumba?

Ni sharti gani la ajabu umewahi kupewa na mwenye nyumba wakati umepanga au unatafuta chumba?

Joined
Jun 5, 2019
Posts
43
Reaction score
61
Asee mimi sharti la kijinga lilikua ni kusema kama unataka kuongeza mkataba wa kupanga miezi miwili kabla ya muda kuisha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Geti la nyumba linafungwa saa 3 na nusu baada ya hapo hakuna mtu kuingia. Shikamoo Iringa.
 
Kuna Nyumba moja nilienda nikaambiwa ni marufuku kupika Kitimoto, kipindi hiko hata sijipikii chakula nakula kwa mama Ntilie, ila lile sharti bado likanishinda.
 
Back
Top Bottom