Kuna Nyumba moja nilienda nikaambiwa ni marufuku kupika Kitimoto, kipindi hiko hata sijipikii chakula nakula kwa mama Ntilie, ila lile sharti bado likanishinda.
hilo sio shart ni sheria ipo hvyo na sio miezi miwili ni mitatu
hata mwenyenyumba anapaswa akupetaarifa miezi 3 kbla mkataba kuisha ikiwa atahitaji pango lake