mis lemich JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 207 Reaction score 176 Jan 28, 2017 #1 Habari ... Ni sheria ipi inayoruhusu mtoto achukuliwe na baba yake na akiwa umri gani....? Endapo wazazi wametengana
Habari ... Ni sheria ipi inayoruhusu mtoto achukuliwe na baba yake na akiwa umri gani....? Endapo wazazi wametengana
shiite JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 314 Reaction score 299 Jan 28, 2017 #2 ngoja wajuvi waje!!!
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,320 Jan 31, 2017 #3 Umeachika?! Mtt anaweza kwenda kuishi na baba yake kama ametimiza miaka 7 chini ya hapo anakuwa katika uangalizi wa mama
Umeachika?! Mtt anaweza kwenda kuishi na baba yake kama ametimiza miaka 7 chini ya hapo anakuwa katika uangalizi wa mama
krava JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 225 Reaction score 287 Feb 4, 2017 #4 Mwenye Mwenye kujua zaidi aseme je wakina wadada wanaowatelekeza watoto wao wa umri wa 3yrs kwa wa zamani sheria ikoje
Mwenye Mwenye kujua zaidi aseme je wakina wadada wanaowatelekeza watoto wao wa umri wa 3yrs kwa wa zamani sheria ikoje
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,514 Feb 4, 2017 #5 miaka 7
Amos Enock Member Joined Jul 3, 2012 Posts 56 Reaction score 13 Feb 7, 2017 #6 Sheria ya mtoto ya 2009 chini ya miaka 7atakaa kwa mama