Ni shule ipi bora na nafuu kwa watoto wadogo?

JMF

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
1,758
Reaction score
2,770
Salaam wana jamiiforums,
Natafuta shule nzuri na ya gharama nafuu (angalau Tsh 2m kwa mwaka au chini yake) kwa mtoto wa miaka mi 3. Nikutokana na kuwa single parent na mama yake amenisusia na hana muda nae nami ni mtu wa kusafiri safiri nje. Ahsanteni
 
Mpeleke mountfort
 
Back
Top Bottom