Salaam wana jamiiforums,
Natafuta shule nzuri na ya gharama nafuu (angalau Tsh 2m kwa mwaka au chini yake) kwa mtoto wa miaka mi 3. Nikutokana na kuwa single parent na mama yake amenisusia na hana muda nae nami ni mtu wa kusafiri safiri nje. Ahsanteni