Wengi wetu huadhimisha siku mbalimbali za maisha yetu kwa njia mbalimbali ikiwemo sherehe kubwa. Je ni sherehe ipi katika hizi ni mhimu kukumbukwa na kwa sababu gani!
1) Siku ya kuzaliwa
2) Siku ya kubatizwa (Wakristo)
3) Siku ya kukutana kwa mara ya kwanza na mmeo/mkeo
4) Siku ya ndoa yako
5) Siku ya kuanza shule, nk
Nawasilisha