Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,633
- 2,297
Naweza kupata hiyo quotation kwa maandashi au ilipoandikwa?Ndani ya siku saba unapaswa uwe umejibiwa kama bado unayohaki ya kwenda kuwauliza ofisini sababu ya kuchelewa huko. Kumbuka ni muhimu kuwa na dispatch wakati unamkabidhi muhusika barua aweze kusaini ili kuweka kumb.siku uliyomkabidhi,
mkuu upo?Umeuliza swali fikirishi sana mkuu...!!
Standing order mwaka2009 marekebisho2010mkuu upo?
Kama uliemwandikia ni wa ngazi ya chini unafuata wa juu yake.Hawajajibu kitu. Sasa nini kinafuata? Muongozo tafadhali
Sema ogyKama uliemwandikia ni wa ngazi ya chini unafuata wa juu yake