Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Sep 21, 2025 #21 Ukiwa na ile kadi ya kijani, ni wiki mbili tu unavuta hiyo mashine...
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,019 Reaction score 156,726 Sep 21, 2025 #22 kekule benzene said: Swala la kununua simu na nchi inahusiana nini? Maana swala la kununua simu ni ishu binafsi kulongana na kipato cha mtu husika Hata hapa Tanzania Kuna watu dakika moja tu hiyo hela washaipata Click to expand... Unaelewa GDP per capita income ni nini?
kekule benzene said: Swala la kununua simu na nchi inahusiana nini? Maana swala la kununua simu ni ishu binafsi kulongana na kipato cha mtu husika Hata hapa Tanzania Kuna watu dakika moja tu hiyo hela washaipata Click to expand... Unaelewa GDP per capita income ni nini?
issac77 JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 5,850 Reaction score 12,742 Sep 21, 2025 #23 Lucha said: Bila kuotea mishe ya mchongo basi Miezi mi 3 ila nikiotea mishe ya mchongo wiki 1. Click to expand... Uhakika Lucha
Lucha said: Bila kuotea mishe ya mchongo basi Miezi mi 3 ila nikiotea mishe ya mchongo wiki 1. Click to expand... Uhakika Lucha