Ni Siku ya Kuzaliwa au Tarehe ya Kuzaliwa?

Ni Siku ya Kuzaliwa au Tarehe ya Kuzaliwa?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Nimeona kwenye vyombo vya habari kwamba jana ilikua ni 'siku ya kuzaliwa' ya Mh JK....Hongera Mh.

Nauliza swali ikiwa nilizaliwa siku ya Jumanne na tarehe ya kuzaliwa ikaangukia Jumamosi, hapo itakua bado ni siku niliyozaliwa au tarehe niliyozaliwa?
 
Hiyo ni tarehe ya kuzaliwa kwa anaelewa hakuna siku ya kuzaliwa hua kuna tarehe ya kuzaliwa.
 
ni tarehe ya kuzaliwa,maana siku inabadilika,mfano wa mwaka mpya,tarehe ni ile ile ila siku huwa inabadilika,utakuta mwaka jana,tar 1 ilikuwa jumatano wakt mwaka huu alhamisi.
 
asaanteni sana naona mawazo ya wengi yametamalaki
 
nadhani kwa kiswahili cha kiarabu ndio hiyo Maulidi?
 
Back
Top Bottom