Nimeona kwenye vyombo vya habari kwamba jana ilikua ni 'siku ya kuzaliwa' ya Mh JK....Hongera Mh.
Nauliza swali ikiwa nilizaliwa siku ya Jumanne na tarehe ya kuzaliwa ikaangukia Jumamosi, hapo itakua bado ni siku niliyozaliwa au tarehe niliyozaliwa?
ni tarehe ya kuzaliwa,maana siku inabadilika,mfano wa mwaka mpya,tarehe ni ile ile ila siku huwa inabadilika,utakuta mwaka jana,tar 1 ilikuwa jumatano wakt mwaka huu alhamisi.