What is going on hapo NSSF.
Ni siku ya tatu Sasa mfumo wa kuangalia Salio au taarifa kupitia Simu haufanyi Kazi. Kulikoni?
Jana nilikuwa NSSF Ilala(Boma) watu ni wengi wanalalamika wakitaka kujua mbona mfumo wa kuwapa taarifa za akaunti zao unasumbua isivyo kawaida, Cha Ajabu wanajibiwa hovyo Sana.
Waliokuwa kwenye hatua za mwisho kufungua Madai wamesitishwa mpaka wiki ijayo.
Kuna wengine walitaka kujua kwann mpaka Sasa hawajaingiziwa pesa zao licha ya kusubiri kwa zaidi ya Siku 30 nao pia wameambiwa Kuna tatizo la kiufundi.
Nimepata wasiwasi Sana. Ikumbukwe Mifuko ya Hifadhi ya Jamii imekuwa na rekodi ya ubadhirifu kwa siku nyuma Sasa kinachoendelea hapo NSSF sijui nini au mkurugenzi mpya ana install mambo yake.
MTU vs TAASISI