Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
3. Kwa kuongezea tu nadhani la NYUMBU FC litawafaa zaid.Matokeo ya club ya watani zetu yanafanya niamini kuwa wanastahili moja kati ya majina haya
1. Simba KOKO Sc
2. Panya Sc
Kwa takriban nusu muongo sasa wameshindwa kabisa kufurukuta.... Wamebaki kutapatapa tu..
Moderator usifute.... Rejea kanuni za utani wa jadi.[emoji125] [emoji125]
Sisi ni samaki sio vyura. Vyura ni hao wanaonesanesaNyie wa chura churani tatizo lenu mnasahau.
Akipewa Dalali ni sawa na kuwapa Friends. Apewe Msaga Sumu!wakimpa MO, Hans Pope atahujumu, wakimpa Rage; Friends watahujumu, wakimpa Wambura Rage atahujumu...................its a cycle of sabotage
Dalali na Friend ni shuka na godoroAkipewa Dalali ni sawa na kuwapa Friends. Apewe Msaga Sumu!
Yaani hujuti kupost hii picha!Mkowapi mashabiki wa msimbazi.... Njooni tusukume
[emoji116] [emoji116]
Solution ni nini!!!!!!wakimpa MO, Hans Pope atahujumu, wakimpa Rage; Friends watahujumu, wakimpa Wambura Rage atahujumu...................its a cycle of sabotage
Mkowapi mashabiki wa msimbazi.... Njooni tusukume
[emoji116] [emoji116]