Ni Simba na Yanga tu

Benevento

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
4,982
Reaction score
29,537
Soka la bongo ili mwekezaji pamoja na club yenyewe iweze kufanikiwa ni clum mbili tu ambazo ni Simba na Yanga

Mpira ni kuwa na fan base team kama azam haina fan base ndio maana inashindwa kupiga hatua nyingine zaidi ya kimafanikio zaidi ya kuwa na miundombinu pamoja na ihakika wa mishahara

Watu wanasema kwa nini MO kashindwa African Lyon akakimbilia Simba ila ni kwa sababu ya fan base
 
Azam inashindwa si kwa kukosa fan base. Mzee kawapa watu wa ovyo kuongoza timu. Fikiria uamuzi was kuwaacha Manula, Kapombe na Nyoni ambao wamekuwa faida kwa Simba.
Watu wapo Azam kumwibia Bakhresa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…