Ni Simba SC Jumamosi na TP Mazembe Jumapili

Ni Simba SC Jumamosi na TP Mazembe Jumapili

Gwele

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
2,604
Reaction score
3,319
Kuelekea mechi za kimataifa za CAF champions League ambapo Simba atawakaribisha Raja Casablanca na ile ya Confederation Cup ambayo Yanga atakuwa mwenyeji kuwaalika TP Mazembe ni wazi hizo mechi mbili zitaisha kwa ushindi kwa Simba Sc na Tp Mazembe.

TP Mazembe wana nafasi kubwa ya kushinda 2 bila ama 2 kwa 1 huku Simba pia akiwa na nafasi kubwa kupata matokeo kama hayo ama kushinda 1 bila.

Sababu za utabiri huu nitazitoa baada ya mechi zote 2 kukamilika.
 
Ngoja wananchi waje kukujibu.....
20230214_224015.jpg
 
Leo nimeona Raja kasablanka wametua eapoti bila eskoti timu, ile kamati ya upokeaji msimu huu iko bize na maandalizi ya kipengele chao
Sasa kwanini kamati yetu ya mapokezi ya nchi haijafanya kazi yake?
 
Leo nimeona Raja kasablanka wametua eapoti bila eskoti timu, ile kamati ya upokeaji msimu huu iko bize na maandalizi ya kipengele chao
Safari hii mambo yamekuwa magumu wanapambana na hali yao walidhania kucheza haya mashindano ni lele mama au ile kauli ya kwa mkapa hatoki mtu ni poa poa muda utasema ngoja tutaona mengi.
 
Safari hii mambo yamekuwa magumu wanapambana na hali yao walidhania kucheza haya mashindano ni lele mama au ile kauli ya kwa mkapa hatoki mtu ni poa poa muda utasema ngoja tutaona mengi.
Raja waliambiwa na Berkane pale kuna kamati ya mapokezi cha ajabu wamejikuta wapweke Airport
 
Kuelekea mechi za kimataifa za Caf champions League ambapo Simba atawakaribisha Raja Casablanca na ile ya Confederation Cup ambayo Yanga atakuwa mwenyeji kuwaalika TP Mazembe ni wazi hizo mechi mbili zitaisha kwa ushindi kwa Simba Sc na Tp Mazembe

TP Mazembe wana nafasi kubwa ya kushinda 2 bila ama 2 kwa 1 huku Simba pia akiwa na nafasi kubwa kupata matokeo kama hayo ama kushinda 1 bila

Sababu za utabiri huu nitazitoa baada ya mechi zote 2 kukamilika
Njoo utupe sababu za utabiri wako maana umetimia [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom