Wameachwa waonje foleni za Dar nini? Hapo tena traffic amepigiwa simu awaweke barabarani masaa 4.Leo nimeona Raja Casablanka wametua eapoti bila eskoti timu, ile kamati ya upokeaji msimu huu iko bize na maandalizi ya kipengele chao
Bado haiwezi kuondoa uwezekano wa kipigo cha mbwa mwizi.Leo nimeona Raja kasablanka wametua eapoti bila eskoti timu, ile kamati ya upokeaji msimu huu iko bize na maandalizi ya kipengele chao
Kila mmoja anapambana na hali yake...😂😂Leo nimeona Raja kasablanka wametua eapoti bila eskoti timu, ile kamati ya upokeaji msimu huu iko bize na maandalizi ya kipengele chao
Waje kwa upole tuNgoja wananchi waje kukujibu.....View attachment 2519255
Sasa kwanini kamati yetu ya mapokezi ya nchi haijafanya kazi yake?
Safari hii mambo yamekuwa magumu wanapambana na hali yao walidhania kucheza haya mashindano ni lele mama au ile kauli ya kwa mkapa hatoki mtu ni poa poa muda utasema ngoja tutaona mengi.Leo nimeona Raja kasablanka wametua eapoti bila eskoti timu, ile kamati ya upokeaji msimu huu iko bize na maandalizi ya kipengele chao
Raja waliambiwa na Berkane pale kuna kamati ya mapokezi cha ajabu wamejikuta wapweke AirportSafari hii mambo yamekuwa magumu wanapambana na hali yao walidhania kucheza haya mashindano ni lele mama au ile kauli ya kwa mkapa hatoki mtu ni poa poa muda utasema ngoja tutaona mengi.
Bado kipigo kiko palepaleWameachwa waonje foleni za Dar nini? Hapo tena traffic amepigiwa simu awaweke barabarani masaa 4.
Njoo utupe sababu za utabiri wako maana umetimia [emoji23][emoji23]Kuelekea mechi za kimataifa za Caf champions League ambapo Simba atawakaribisha Raja Casablanca na ile ya Confederation Cup ambayo Yanga atakuwa mwenyeji kuwaalika TP Mazembe ni wazi hizo mechi mbili zitaisha kwa ushindi kwa Simba Sc na Tp Mazembe
TP Mazembe wana nafasi kubwa ya kushinda 2 bila ama 2 kwa 1 huku Simba pia akiwa na nafasi kubwa kupata matokeo kama hayo ama kushinda 1 bila
Sababu za utabiri huu nitazitoa baada ya mechi zote 2 kukamilika