yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,409
Jamani kweli soka la bango *limejaa usanii mtupu!!!.Hivi karibuni Simba ilizindua kipindi cha runinga clouds tv.kwa mbwembwe nyiiingi.kwa kkuza *hilo nakuwasahaulisha wanasimba kuhusu uwanja wao walioahidiwa,kina rage wakajiita eti wanazindua tv "Simba Tv". Ukweli ni kwamba *simba wanamiliki show tu na sio tv.show kama *ya *wanawake live ,show ya joyc kiria,Mkasi ya salama j,au Chid benz show ya chidi benzi,au family courty ya judge penny kule marekani na nyingine nyingi,ambapo wao hawziiti tv na wala hawkuzizindua kwa mbwembwe za kuwaalika mawaziri kama ile ya Simba tv ya simba.Mkumbuke Rage anamiliki Redio (voice of Tabora)ambayo hakuizindua kwa mbwembwe hivyo.Mkumbuke mnazindua tv wakati bado hamjamaliza kupaka *rangi jengo lenu.Soka la bongo bado lina safari ndeeeeeefu