Ni Simba Tv au Simba Tv show?

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Jamani kweli soka la bango *limejaa usanii mtupu!!!.Hivi karibuni Simba ilizindua kipindi cha runinga clouds tv.kwa mbwembwe nyiiingi.kwa kkuza *hilo nakuwasahaulisha wanasimba kuhusu uwanja wao walioahidiwa,kina rage wakajiita eti wanazindua tv "Simba Tv". Ukweli ni kwamba *simba wanamiliki show tu na sio tv.show kama *ya *wanawake live ,show ya joyc kiria,Mkasi ya salama j,au Chid benz show ya chidi benzi,au family courty ya judge penny kule marekani na nyingine nyingi,ambapo wao hawziiti tv na wala hawkuzizindua kwa mbwembwe za kuwaalika mawaziri kama ile ya Simba tv ya simba.Mkumbuke Rage anamiliki Redio (voice of Tabora)ambayo hakuizindua kwa mbwembwe hivyo.Mkumbuke mnazindua tv wakati bado hamjamaliza kupaka *rangi jengo lenu.Soka la bongo bado lina safari ndeeeeeefu
 
hapa inamuhusu zaidi mtakatifu ivuga au crashwise...
 
mimi nilidhani TV kama TV kumbe usanii tuu!
 
Mimi nilidhani sielewi pekee yangu kumbe tuko wengi. hivi ni Simba TV au Kipindi cha Simba? Siasa zimevunja milango mpaka kwenye soka. Ndo maana TZ ni 147 na wala hatushutuki kabisa. Kibaya zaidi sikiliza wale maofisa habari wa yanga na simba wanapokuwa wanatoa status za mechi inayofuata majigambo utadhani timu ina akina mesi kumbe ndo hao akina Boko.
 
Wamedanganya mashabiki wao masikini, watu mpaka leo wanajua kuna Simba Tv dah! Kwani kuna ubaya gani wangesema wanazindua kipindi?
 
Wamedanganya mashabiki wao masikini, watu mpaka leo wanajua kuna Simba Tv dah! Kwani kuna ubaya gani wangesema wanazindua kipindi?
jaribu kufichaga uzezeta wako kaka...yaani wewe ndio ulikuwa hujui juu ya huu uzinduzi.kuwa mdadisi kwanza kabla ya ku expose uzezeta wako. sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…