Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 342
- 626
Simu gan nzuri smartphone simu janja inatunza chaji vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Infinix iko poa sana
nilishatumia Samsung na iPhone ,kuna kununua infinix nikajiuliza nilichelewa wapi,data on mda wote na chaji iko vizuri tuNa hata ukienda porini mtandaoni unaingia sumsung na iPhone timewaachia vijana wanaoshinda mlimani city na posta
Na hata ukienda porini mtandaoni unaingia sumsung na iPhone timewaachia vijana wanaoshinda mlimani city na posta
Nimetumia sumsung miaka saba na iPhone miaka mitatu ila ila infinix inanifurahishanilishatumia Samsung na iPhone ,kuna kununua infinix nikajiuliza nilichelewa wapi,data on mda wote na chaji iko vizuri tu
Mimi ni mpenzi wa iphone muda mrefu, sijawahi kupenda android phones, ,kuna kipindi niliamua kununua infinix hot 10 lite….hii infinix haijawahi kuniangusha aisee, inakaa sana na chaji na haistuck kabisa, sema infinix wanachofeli ni upande wa camera tu
Sema sina hela ya kununua iphone[emoji28]
mkuu Sasa unabisha experience ambayo nimepitia wakati mtumiaji ni mimi,wabongo mmezoea kufanga ligi kila kitunina mashaka utumie SAMSUNG na IPHONE
kisha uhamie INFINIX na Uisifiee
kwanza hilo neno "Data on mda wote" huwa ni la TECNO user
watumiaji haswa wa SAMSUNG na IPHONE huwa hawajipigi kifua mbele DATA ON MUDA WOTE
hata Mimi nimemiliki kwa ajili ya pride ,ziko vizuri kwenye matumizi ila chaji ndo ishuSio kweli kaka sumsung na iPhone nilimiliki sababu ya ile pride tu ila hii kitu infinix ni bora sana
Pia Nokia kwenye camera wako DoroNi kweli infinix kwenye picha ndio wamefeli ila ni simu nzuri
Yani iPhone sijawahi kua na mzuka nayo aise, hata nipewe zawadi naona kabisa nitauza[emoji28]nilishatumia Samsung na iPhone ,kuna kununua infinix nikajiuliza nilichelewa wapi,data on mda wote na chaji iko vizuri tu