Salam wana JF,
Kuna huu msemo usemao "Siri za biashara". Je, mfano wa siri hizo ambazo haziwezi kujulikana katika ulimwengu huu ambao upo uchi katika kila sekta ni zipi?. Yaani siri ambazo mtu hata akamie vipi kutaka kuzijua hawezi kuzijua kamwe.
Karibuni tujuzane