Sijaijaribu, na vipi hiyo handbrake ina imerge yani kiasi kwamba subtitle inakuwa part ya video hata nikiplay kwenye windows media player zitaonekana?Umejaribu handbrake? Inaweza kumix subtitle ama hata ku convert
Mkv yenye sub kwenda mp4
Mkuu nifundishe kuweka sub title bas nataman sana kujua hizi mamboSijaijaribu, na vipi hiyo handbrake ina imerge yani kiasi kwamba subtitle inakuwa part ya video hata nikiplay kwenye windows media player zitaonekana?
Kuandika subties au kuweka subtitles kwenye movie? Kama za movie unadownload to halafu unazirename ziwe na jina sawa na movie unaziweka same folder hata ukiplay movie kwenye tv zitatokea tuMkuu nifundishe kuweka sub title bas nataman sana kujua hizi mambo
Asante umeniongezea elimuKuandika subties au kuweka subtitles kwenye movie? Kama za movie unadownload to halafu unazirename ziwe na jina sawa na movie unaziweka same folder hata ukiplay movie kwenye tv zitatokea tu
Zipo softwares nyingi za kufanya hivyo ila mimi natumia Aegsub.Asante umeniongezea elimu
Nahitaji kujua kuandika na kisha ziendane na video.
Pia ziwe na viwango vizuri kama zile za kikorea, kama ushaona Jumong utanielewa
Asante umeniongezea elimu
Nahitaji kujua kuandika na kisha ziendane na video.
Pia ziwe na viwango vizuri kama zile za kikorea, kama ushaona Jumong utanielewa
Hata mimi uwa nafanya hivyo nikitaka kuiwekea movie subtitle ya kiswahili ila huenda yeye anataka kujua jinsi ya kutengeneza subtitle nje ya videos ambazo subtitle zake huwezi kuzipata online mfano documentariesdownload SRT ya kingereza kisha i edit kuwa kiswahili kwa kutumia notepad ndio tunavyofanya
Hata mimi uwa nafanya hivyo nikitaka kuiwekea movie subtitle ya kiswahili ila huenda yeye anataka kujua jinsi ya kutengeneza subtitle nje ya videos ambazo subtitle zake huwezi kuzipata online mfano documentaries
niaje mkuuAsante Chief-Mkwawa nimefanikiwa kwa kutumia handbrake kumbe ni open source. Hazchem plate
Asante haz kwa mchango wako. Nimefana kwa kweli.download SRT ya kingereza kisha i edit kuwa kiswahili kwa kutumia notepad ndio tunavyofanya
Asante haz kwa mchango wako. Nimefana kwa kweli.
Mfano nimerekodi video ya tukio flani, lugha iliyotumika ni Swahili,
Nataka asiezungumza swahili asome tafsiri chini kiingereza chake
Je naanzaje from scratch?
Karibu mkuu Nafaka
Umeona hiyo screeshot ya Aegsub niliyokuwekea hapo coment ya juu, hiyo ni video ya kikeke nimeiwekea subtitles za kingereza jana usiku. Ni kwamba ukifungu aegsub, unaweza drag na ku drop in video yake. So itakuwa kama hiyo screenshot ambapo upande mmoja utaona video mwingine mawimbi ya sauti, na chini sehemu ya ku stamp in subtitles. mimi mara nyingi uwa sehemu ya video naifunga maana sihitaji nachohitaji ni mawimbi ya sauti so nikiifunga inakuwa kama hiviUemhaz kwa mchango wako. Nimefana kwa kweli.
Mfano nimerekodi video ya tukio flani, lugha iliyotumika ni Swahili,
Nataka asiezungumza swahili asome takeke nimeifsiri chini kiingereza chake
Je naanzaje from scratch?
Karibu mkuu Nafaka
Good,nakusikiliziaS
Salama mkuu vipi?
Mkuu Laptop yako ina specifications gani ?Ntakuchek kwa simu hopeful jumatatu baada ya sikukuu