kuchora raman kuna vitu vingi unatakiwa uvijue,ndio maana watu wanaweka makalio miaka mi5 pale ardhi kutafuta huo ujuzi..huwezi tu kutafuta software na kuanza kuchora,kuna discplin zake katika kuchora,la sivyo utakuja kudesign jengo jua lote linaingia ndani,hio ni proffesional kabisa sio ya kusoma short course,unatakiwa ujue theory za architecture,idea ya structure kdg,building technology,na mengine mengi ambayo siyajui
nenda ARU au MUST wanatoa hio course ila ya ardhi ndio baba lao