Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Wahenga walisema fimbo ya mbali haiui nyoka.Ukiwa na Mke au mpenzi mkiwa mnakaa mikoa tofauti au wilaya tofauti ww jua lazima kuna mtu anamtafuta na mwanaume kuna mtu anamtafuna.Hell
Je ni somo gani umejifunza katika maisha ungependa wajifunze wengine pia
distance relationship ina nionyesha kuwa ni kwanini bank ina tawi kila sehemu. Vipi kwa upande wako
Sema kweliiMwanaume unapaswa kusaka ngono na pesa sio mapenzi.
Sawa mama nimekupataYou may Born poor but die reach.
More respect kwako Padre.
Hakika bro ila ina umaaWahenga walisema fimbo ya mbali haiui nyoka.Ukiwa na Mke au mpenzi mkiwa mnakaa mikoa tofauti au wilaya tofauti ww jua lazima kuna mtu anamtafuta na mwanaume kuna mtu anamtafuna.
Kabisa moyo ukiwa good no magonjwaUmihimu wa aman ya moyo
Kwamba shem ana weza ikata na kisu sio?Huwa nikiamka asubuhi cha kwanza kabisa naingiza mkono kwenye boxer kuhakikisha kila kitu kiko salama
Mda mwingine sipati usingizi mpaka niweke mkono ndani ya boxer
Abiria chunga mzigo wako
Hasa mwanamke?Kamwe Usimwamini mtu yeyote
Kabisa ni bahati tuNilichojifunza katika maisha ni kuwa mafanikio yanategemea na bahati kwa 90%
2.Ulimwengu umejaa hadaa,unayiyajua mengi hayana ukweli-tunachokijua ni 10% tu.
Una taka kusemaje mkuu 😂
SureTrust gets you killed, love gets you hurt and being real gets you hated,
Love the life u live
Live the life u love.