Ni somo gani umejifunza katika maisha

Ngono zembe zimedumaza uchumi kwa vijana wengi walio kwenye NDOA na ambao hawako kwenye NDOA mikosi laana imekuwa nguzo popote watembea apo KUNA SIRI KUBWA ili ojificha kwenye tendo la ndoa,,, na siri nyingine ubarikiwapo ama utafutaji wako HAKIKISHA UNAWA KUMBUKA YATIMA/WAJANE iko siri kubwa kwenye hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…