Kuwa Neno kua uyaone mwanangu is real.Hell
Je ni somo gani umejifunza katika maisha ungependa wajifunze wengine pia
distance relationship ina nionyesha kuwa ni kwanini bank ina tawi kila sehemu. Vipi kwa upande wako
Mama uswege hiyo kazi niachie mimi tuPesa ni sabuni ya roho ,tutafute hela wakuu umasikini mbaya Sana!
Sio magorofa hapana…………😂Kuwa Neno kua uyaone mwanangu is real.
Hiyo ni kweli mtu ni mzuri akiwa na kituWatu wanakupenda, kukuthamini na kukutafuta UKIWA NA KITU CHA KUWAPA.
Kosa kipato uone kama kuna mtu atakuwa na shida na wewe
Hata ndugu hukukimbia
Sasa nasemaje uongo wakati mie ndio msema kweli nambari one hapa jfSema kwelii
Kweli kabisaHiyo ni kweli mtu ni mzuri akiwa na kitu
Ebo! So education is better than money hamtaki tenaPesa ni sabuni ya roho ,tutafute hela wakuu umasikini mbaya Sana!
Ila life na rangi zake.Sio magorofa hapana…………😂
Very very true....utatukanwa matusi ya reja reja hatari.Watu wanakupenda, kukuthamini na kukutafuta UKIWA NA KITU CHA KUWAPA.
Kosa kipato uone kama kuna mtu atakuwa na shida na wewe
Hata ndugu hukukimbia
Sasa siku ukifa nitaishije na kina Uswege na Gwamaka!!Mama uswege hiyo kazi niachie mimi tu
Usipozipata nicheki PM tutumie zangu.Pesa ni sabuni ya roho ,tutafute hela wakuu umasikini mbaya Sana!
Wasomi wenyewe wanaenda veta!Ebo! So education is better than money hamtaki tena
SeriousSomo ambalo nimejifunza ni kuhusu karma
Kuwa nothing goes unpaid Every action has consequence.
SureSasa nasemaje uongo wakati mie ndio msema kweli nambari one hapa jf
Sasa wee sii uende veta ukajifunze kushona nguo za mumeoWasomi wenyewe wanaenda veta!
Sure inatakiwa utulize akiliPesa ikikutembelea iheshimu sana.,
Hakuna experience mbaya kama ulikua na flow ya fedha ukarudi chini kabisa