Masharti yakiwa ya kisheria,amma kivyovyote inavyohusu usimikaji mitambo nitashukuru maana nchi yetu hii udalali mwingi.
Mkataba unahitaji consent yako.
Kabla hujadondosha saini make sure umeuelewa vema. Yale ambayo mmekubaliana ndio hayo yaliyoandikwa kwenye mkataba! in case ukahisi tofauti, ni bora kusimamiwa na mwanasheria.