lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Ni starehe gani inapendwa na watu wengi zaidi duniani?
Kula
Mapenzi
Muziki
Soccer
Pombe
Au Nini Tena
Pamoja na kuwa baadhi ya hivyo vitu Ni mahitaji ya kawaida ya Binadamu Kama kula na mapenzi,lakini watu wengi huvitumia Kama starehe.
Je ipi ni starehe inayopendwa zaidi hapa duniani?