lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Starehe inayopendwa zaidi ni K, yaani:-Ni starehe gani inapendwa na watu wengi zaidi duniani?
Kula
Mapenzi
Muziki
Soccer
Pombe
Au Nini Tena
Pamoja na kuwa baadhi ya hivyo vitu Ni mahitaji ya kawaida ya Binadamu Kama kula na mapenzi,lakini watu wengi huvitumia Kama starehe.
Je ipi ni starehe inayopendwa zaidi hapa duniani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Starehe inayopendwa zaidi ni K, yaani:-
Kuimba
Kulala
Kukimbia
Kupuliza Moto
Kula
Kupiga kura
Kusali
Kwenda chooni
K ndio habari ya mjini
Ngono na pesa tu, zaidi ya hapo ni fani ya kujishikilizia kabla ya kungononeka na kutafuta pesa. Mlokole utasikia anakuambia kungononeka ni dhambi lakini akienda kanisani chooni anajichua.Ni starehe gani inapendwa na watu wengi zaidi duniani?