DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
RuudvanestorooyNdugu zangu!Natumai mpo wazima wa afya.. Ni striker/namba 9 yupi kwako alikuwa bora?
DIEGO MILLITO/INTERNAZIONAL
View attachment 904870
IBRAHIMOVIC/BARCELONA
View attachment 904873
HERNAN CRESPO/CHELSEA
View attachment 904875
DE LIMA/REAL MADRID
View attachment 904876
Kwangu mimi Diego Millito, wewe je?
Ukishamweka Ronaldo DE lima tu swali lako linakosa maana mkuu,Ndugu zangu!Natumai mpo wazima wa afya.. Ni striker/namba 9 yupi kwako alikuwa bora?
DIEGO MILLITO/INTERNAZIONAL
View attachment 904870
IBRAHIMOVIC/BARCELONA
View attachment 904873
HERNAN CRESPO/CHELSEA
View attachment 904875
DE LIMA/REAL MADRID
View attachment 904876
Kwangu mimi Diego Millito, wewe je?
Labda hukuwaona hao wengine...Millito unamjua vizuri??? Huyu mshkaji hakuna asiyemjuwaUnamvunjia heshima sana The Phenomena kuwaweka na watu hao.
Labda hukuwaona hao wengine...Millito unamjua vizuri??? Huyu mshkaji hakuna asiyemjuwa
De lima namjuwa vizuri, ila ukiniambia hapo nani bora ntamchagua millito na ibrahimovic
Weka rekodi zake za mafanikio kisoka.Labda hukuwaona hao wengine...Millito unamjua vizuri??? Huyu mshkaji hakuna asiyemjuwa
De lima namjuwa vizuri, ila ukiniambia hapo nani bora ntamchagua millito na ibrahimovic
Ingia googleWeka rekodi zake za mafanikio kisoka.
ntajie mafanikio ya Ronaldo De lima katika ngazi ya club.Unamvunjia heshima sana The Phenomena kuwaweka na watu hao.
Akileta majibu nitag!ntajie mafanikio ya Ronaldo De lima katika ngazi ya club.
Uzi unasema ni namba9/mshambuaji Bora in general au kwa ngazi ya club tuu?ntajie mafanikio ya Ronaldo De lima katika ngazi ya club.
ntajie mafanikio ya Ronaldo De lima katika ngazi ya club.
heheheh sawa sawa mkuu.Akileta majibu nitag!