Ni style gani ambayo wanawake huwa wanaiogpa?

Rais wa kwanza kumpa nduguye(Dotto Biteko) uwaziri mama kaendeleza na kumpa mkwe (Mchengerwa) na atazidisha maana binti yake (Wanu) ameshachukua form ya ubunge. Rais wa kwanza kupasua nchi na kupendelea kanda ya ziwa (alipotokea)wazi wazi Mama kaendeleza na kuwapendelea wavaa makobazi na visiwani. Rais wa kwanza kuanzisha utekaji na kupotea wa upinzani (Ben Saanane, Anzory Ngwanda) mama anaendeleza ( Deo Soka, Mdude Nyagali) . Kiufupi Magufuli aliharibu zaidi ya kujenga. Na tusipobadili katiba Rais akae anaweza kufanya mabaya zaidi ya haya. Maana uongozi unaenda kwa reference. Kama Rais aliyepita alifanya na hakufanywa lolote kwa nini mimi nizuiliwe ?
 
Mbooo yako na bado inakutesa ww ni fala.

No reform, election hatuwezi zuia ila hatutapiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…