style za karate mkuu.kuna watu nilisikia wakisema style nyingine ukijifunza..kwenye street fighting huwezi tumia.Kwa uelewa wangu chochote utakachojifunza kati ya ulivyotaja kitakufaa kwani self defense haichagui pia swali lako hujaliweka vzur unazngumzia aina za michezo au style za karate
Kama umeshapitiapitia hii michezo mambo hayabadiliki sana mkuukwa wale wajuz wa mambo ya karate naomba mnifahamishe hili..kuna style kama shaolin,taekwondo,wing chun,judo,Tai chi nk.je kati ya hizo ni ipi mtu akijifunza inaweza mfaa endapo atahitaj kujilinda pale anapovamiwa na watu kitaa..maana wanasema ngumi za ulingoni na mtaani ni vitu viwili tofauti.
Jeet Kune Dokwa wale wajuz wa mambo ya karate naomba mnifahamishe hili..kuna style kama shaolin,taekwondo,wing chun,judo,Tai chi nk.je kati ya hizo ni ipi mtu akijifunza inaweza mfaa endapo atahitaj kujilinda pale anapovamiwa na watu kitaa..maana wanasema ngumi za ulingoni na mtaani ni vitu viwili tofauti.
Kwa dar es salaam nitapata wapi haya mafunzo nilikua nayataka kwaajili ya mazoezi na kujilinda .Hakuna style bora au style dhaifu kwa sababu zote zina lengo moja. Wewe ndo unapaswa kuwa bora katika unachokifanya kupitia style unayochagua
mkuu ulimpata mwalimu??jaman napenda sana kun'fu kwa anaeweza kunifundisha alipo mkoan ddoma ajitokeze aje pm nitamlipa
Hii ninzuri sana japokuwa naona inatumika zaidi majeshini mitaani sijaionaMkuu street fighting sometine ni timingi ila kama self defence mi nafkiri achana na karate piga combart yaani ukitoa dozi moja kibaka anakaa harudi tena