Michezo yote iko poa tu sema cha msingi in were mwenyewe tu kuwa more technique,hasa katika kujua anakujaje na kwa mbinu gani na namna ya kumkabili na kumfanya atulie ikibidi apitilize ahera kama alikuwa na nia mbaya zaidi
Hahahaha nilichoona kwenye uzi huu ndugu zangu kila mtu anataja tu majina ili mradi aonekane yupo fit na wengine wanataja style zingine ata Tanzania hazijafika na naimani zingine wanazionaga kwenye filamu tu. Nimefurahi mno.