Wazazi wako uliwauliza au una jumlisha wazazi wa wote wamejibu hiviukiwauliza watakujibu kwamba, hawakuwai kuoanga kukuzaa.
Dah.. imagine maisha haya machungu hivi.. alafu umlete mwanao nae aje ateseke, ahangake shida kibaaaao. Aiseee..Binafsi hili jambo linanipa hofu sana ya kuleta mtoto nami huku duniani maana mimi mwenyewe sioni faida ya kuwepo hapa. Kama kweli Mungu anatupatia free will na sio dikteta ingebidi atuulize huko huko kama tutahitaji kuja duniani. Mimi nisingependa kuja huku, kwakua mimi sipendi basi sitaki mtoto aje anilaumu na kujilaumu kwanini alizaliwa.
una hakika hakuna aliyetaka kuja duniani? hii mada unaijadili kiroho ama kisayansi?Inakuwaje wakuu.....
Wakuu ukweli ni kwamba hakuna binaadamu alietaka kuja duniani lakin tunajishtukia tu tumeshakuja duniani
Swali ssa linalonifanya kila siku nitafakari
Kwanini watu tunaogopa sana kifo ukizingatia hatujawahi kukiexperience
Yani hata mtoto wa miaka minne tu akiona hatari tu mbio kujiepusha nayo, yote hiyo kuepuka kifo
Wajuzi watujuze............
Jf kisima cha maarifaView attachment 1872148
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu, I think it reflect realityKufa hakuumi ila kinachokupelekea kufa ndio kinaumiza inaweza kuwa maradhi, ajali au kitu chochote bahati mbaya wakati unazaliwa hukufeel hayo maumivu kwa sababu yalibebwa na mama yako. Bahati mbaya kifo kinaogopwa kwa sababu hatujui baada ya kifo tunaenda wapi! Zaidi ya nadharia ambazo tumeaminishwa na dini zetu kwamba kuna pepo na jehanamu hivyo ndio vinavyotuogopesha
Ahsante mkuu kwa mawazo yakoWewe kuzaliwa, ni matokeo ya starehe (makatiko ya baba na mama yako). Na hata wao ukiwauliza watakujibu kwamba, hawakuwai kuoanga kukuzaa.
Hofu ya kifo ni matokeo ya kufichwa waoi tutaenda baada ya kufa. Na ubaya zaidi hakuna mtu mwenye alirejea toka kukufa na akatusimulia maisha ya huko kifoni.
Tunahofu na kifo sababu, hatujui tukikufa tunaenda wapi.
Binafsi hili jambo linanipa hofu sana ya kuleta mtoto nami huku duniani maana mimi mwenyewe sioni faida ya kuwepo hapa. Kama kweli Mungu anatupatia free will na sio dikteta ingebidi atuulize huko huko kama tutahitaji kuja duniani. Mimi nisingependa kuja huku, kwakua mimi sipendi basi sitaki mtoto aje anilaumu na kujilaumu kwanini alizaliwa.
Wewe kuzaliwa, ni matokeo ya starehe (makatiko ya baba na mama yako). Na hata wao ukiwauliza watakujibu kwamba, hawakuwai kuoanga kukuzaa.
Hofu ya kifo ni matokeo ya kufichwa waoi tutaenda baada ya kufa. Na ubaya zaidi hakuna mtu mwenye alirejea toka kukufa na akatusimulia maisha ya huko kifoni.
Tunahofu na kifo sababu, hatujui tukikufa tunaenda wapi.
Ahsante Nuzulati kwa msaada wakoWazazi wako uliwauliza au una jumlisha wazazi wa wote wamejibu hivi
Huwezi jua Da'Vinci wenda mwanao atayafurahia maishaBinafsi hili jambo linanipa hofu sana ya kuleta mtoto nami huku duniani maana mimi mwenyewe sioni faida ya kuwepo hapa. Kama kweli Mungu anatupatia free will na sio dikteta ingebidi atuulize huko huko kama tutahitaji kuja duniani. Mimi nisingependa kuja huku, kwakua mimi sipendi basi sitaki mtoto aje anilaumu na kujilaumu kwanini alizaliwa.
Mkuu usisahau kuwa wapo wanaofurahia maishaDah.. imagine maisha haya machungu hivi.. alafu umlete mwanao nae aje ateseke, ahangake shida kibaaaao. Aiseee..
Dah kwel mkuu, kuna uwezekano sipo sahihi hapouna hakika hakuna aliyetaka kuja duniani? hii mada unaijadili kiroho ama kisayansi?
Hapa kwa watoto nafikiri wataalamu wa saikolojia ya binadamu na tabia za binadamu wanaweza kutusaidia. Mimi si mbobezi katika eneo hilo.Ahsante mkuu kwa mawazo yako, vp kwa watoto wadog? dhambi bado hawana, dunia sidhani kama wameshaizoea, mipango ya maisha bado hawana, inakuwaje hapo sasa.............?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua niko mwenyewe ninayewaza hivi aisee ...bora nisingezaliwa tuBinafsi hili jambo linanipa hofu sana ya kuleta mtoto nami huku duniani maana mimi mwenyewe sioni faida ya kuwepo hapa. Kama kweli Mungu anatupatia free will na sio dikteta ingebidi atuulize huko huko kama tutahitaji kuja duniani. Mimi nisingependa kuja huku, kwakua mimi sipendi basi sitaki mtoto aje anilaumu na kujilaumu kwanini alizaliwa.