Ni taasisi /agent/ saccos gani (ukiacha mabenki) naweza kupata mkopo

Ni taasisi /agent/ saccos gani (ukiacha mabenki) naweza kupata mkopo

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Salam wakuu.

Ni taasisi /agent/ saccos gani (ukiacha mabenki) naweza kupata mkopo wa TZS 1.000.000 haraka ndani ya siku moja? Hata kama mtu binafsi sawa tu.

Nina nyumba.gari.

Naomba kujua na viambatanisho vyake.

Nipo Mkoani Arusha.

SHIDA: Nauguliwa.

Asanteni
 
tafuta ndugu au mtu wa karibu sio hizo ulizo zitaja utazulumiwa
 
Unataka mkopo huu lini?na unarudisha lini ukipewa?unaweza kurudisha 1.4m kwa mwezi mmoja tu?una gari gani?
 
Back
Top Bottom