Salam wakuu.
Ni taasisi /agent/ saccos gani (ukiacha mabenki) naweza kupata mkopo wa TZS 1.000.000 haraka ndani ya siku moja? Hata kama mtu binafsi sawa tu.
Nina nyumba.gari.
Naomba kujua na viambatanisho vyake.
Nipo Mkoani Arusha.
SHIDA: Nauguliwa.
Asanteni