Ni Taasisi gani ya Fedha itanifaa?

Ni Taasisi gani ya Fedha itanifaa?

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
Wanajamvi nataka kuitumia nyumba yangu kama Loan guarantee; Loan nitakayoipata hapo nitaijenga imara na kuipangisha nyumba husika. Nyumba ipo Dar; Mabibo External eneo la Makuburi kwa sasa inaweza kuwa na thamani ya Mil. 50, Ina hati zote halali.

Je ni taasisi gani ya fedha watanifaaa kwa masharti nafuu na kwa kuwa sijawahi kufanya utaratibu wa namna hii natakiwa kuzingatia nini?
 
Back
Top Bottom