Ni Taasisi ipi ya fedha inaweza kutoa mkopo haraka?

Wolle Melkas Fernando

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2016
Posts
253
Reaction score
360
Wadau naomba mwenye uzoefu au anayefanya Kazi na Taasisi za kifedha anisaidie ku-suggest Taasisi ambayo haina longolongo kutoa mkopo wa biashara kwa haraka na uhakika.

Nimejaribu Taasisi mbili Moja wamenipendekezea kiasi ambacho ni kidogo nisichohitaji na nyingine mpaka Sasa kuna mwezi mmoja na nusu wananizungusha tu.
 
Kama upo tayari na vigezo nilivyokuwekea tunaweza anzia pale,, nitakusaidia process zote hadi unapata mkopo
 
Wadau naomba mwenye uzoefu au anayefanya Kazi na Taasisi za kifedha anisaidie ku-suggest Taasisi ambayo haina longolongo kutoa mkopo wa biashara kwa haraka na uhakika.

Nimejaribu Taasisi mbili Moja wamenipendekezea kiasi ambacho ni kidogo nisichohitaji na nyingine mpaka Sasa kuna mwezi mmoja na nusu wananizungusha tu.
0787357219
 
Ndugu FM WOLLE naona ukienda kubananishwa vile.

Wewe ukiwa na shida mwingine keshaona fursa ndani yako.

NB: Kuwa makini sana na huo mkopo, sioni heri juu yako. Angalia usije kulia tu baadae
 
Kuna wakati Mtu anashikwa pabaya mpaka anakuwa tayari kupoteza tu aili atatue linalomkabili.

Ingawa sijui Mleta uzi anakabiliwa na nini lakini kuna wakati kupoteza hakukwepeki...kiwanja cha milioni tano unakiachia kwa miinoni mbili.

Njia pekee ya kumnusuru si kumtahadharisha peke yake bali kumpa njia mbadala ya kutatua linalomkabili kama sio hicho kiasi cha pesa anachokihitaji.
 
Back
Top Bottom