Wolle Melkas Fernando
JF-Expert Member
- May 4, 2016
- 253
- 360
Kama upo tayari na vigezo nilivyokuwekea tunaweza anzia pale,, nitakusaidia process zote hadi unapata mkopoWadau naomba mwenye uzoefu au anayefanya Kazi na Taasisi za kifedha anisaidie ku-suggest Taasisi ambayo haina longolongo kutoa mkopo wa biashara kwa haraka na uhakika.
Nimejaribu Taasisi mbili Moja wamenipendekezea kiasi ambacho ni kidogo nisichohitaji na nyingine mpaka Sasa kuna mwezi mmoja na nusu wananizungusha tu.
taasisi ninayoifahamu inakopesha kuanzia milion Moja Hadi thelathini tu kama ukiwa na vigezo na inachukua siku mbili tu.Umejaribu DCB
Ila usije ukatulilia humu ndani kwa riba yake mkuu…
Watu gani haotaasisi ninayoifahamu inakopesha kuanzia milion Moja Hadi thelathini tu kama ukiwa na vigezo na inachukua siku mbili tu.
Kama mkopo ni zaidi ya hapo bank ndo suluhisho
Nipo tayari mkuuKama upo tayari na vigezo nilivyokuwekea tunaweza anzia pale,, nitakusaidia process zote hadi unapata mkopo
Naomba uniunganishe mkuu.taasisi ninayoifahamu inakopesha kuanzia milion Moja Hadi thelathini tu kama ukiwa na vigezo na inachukua siku mbili tu.
Kama mkopo ni zaidi ya hapo bank ndo suluhisho
fungua pmWatu gani hao
0787357219Wadau naomba mwenye uzoefu au anayefanya Kazi na Taasisi za kifedha anisaidie ku-suggest Taasisi ambayo haina longolongo kutoa mkopo wa biashara kwa haraka na uhakika.
Nimejaribu Taasisi mbili Moja wamenipendekezea kiasi ambacho ni kidogo nisichohitaji na nyingine mpaka Sasa kuna mwezi mmoja na nusu wananizungusha tu.
Hupendi kutafuta wateja hapa kweupe?fungua pm
Ndugu FM WOLLE naona ukienda kubananishwa vile.Wadau naomba mwenye uzoefu au anayefanya Kazi na Taasisi za kifedha anisaidie ku-suggest Taasisi ambayo haina longolongo kutoa mkopo wa biashara kwa haraka na uhakika.
Nimejaribu Taasisi mbili Moja wamenipendekezea kiasi ambacho ni kidogo nisichohitaji na nyingine mpaka Sasa kuna mwezi mmoja na nusu wananizungusha tu.
Ni taasisi ipi hiyo na mimi nahitajitaasisi ninayoifahamu inakopesha kuanzia milion Moja Hadi thelathini tu kama ukiwa na vigezo na inachukua siku mbili tu.
Kama mkopo ni zaidi ya hapo bank ndo suluhisho
Kuna wakati Mtu anashikwa pabaya mpaka anakuwa tayari kupoteza tu aili atatue linalomkabili.Ndugu FM WOLLE naona ukienda kubananishwa vile.
Wewe ukiwa na shida mwingine keshaona fursa ndani yako.
NB: Kuwa makini sana na huo mkopo, sioni heri juu yako. Angalia usije kulia tu baadae