lukas charles
Member
- Jan 5, 2017
- 82
- 47
Watu wanao nikumbusha matukio hangu ya zamani kwenye hadhara siwapendi.
Watu wanaotaka sifa waonapo mgeni machoni mwao na kuanza kujikombakomba kudhalilisha wenzake ili mradi aonekane na yeye yupo siwapendi. Mtu unaongea nae neno la siri baadae analitoa hadharani tena kwa kicheko cha nguvu simpendi.
Mtu anaepinga kila kitu hata kama hana ufafanuzi yani hakijui anachokipinga simpend. Mtu anaona kila mtu ni wa kawaida kwake yani anadharau kila akifanyacho mwenzake spendi.
Ongezea na wewe nani humpendi ili ajirekebishe tabia leo hii.
Sent using Jamii Forums mobile app