wazili mkuu
Member
- Mar 19, 2019
- 36
- 33
Ni ipi tabia ambayo unajua zaidi ni mbaya kwa watu lakini unaipenda na ngumu kuacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kununua dada poaNi ipi tabia ambayo unajua zaidi ni mbaya kwa watu lakini unaipenda na ngumu kuacha
Kulala nmevaa pajama pants na mswetaNi ipi tabia ambayo unajua zaidi ni mbaya kwa watu lakini unaipenda na ngumu kuacha
Kupiga nyetoNi ipi tabia ambayo unajua zaidi ni mbaya kwa watu lakini unaipenda na ngumu kuacha
Hiyo si tabia mbaya!Kukaa pekeangu
Hali ya hewa inaruhusuKulala nmevaa pajama pants na msweta
Utakuwa upo single wewe 🤣🤣🤣🤣🤣Kulala nmevaa pajama pants na msweta
Mbona husemi ya kwakoNi ipi tabia ambayo unajua zaidi ni mbaya kwa watu lakini unaipenda na ngumu kuacha
Kuangalia makalio ya wanawake.
Kwa hakika, hakuna binadamu asifiae uumbaji wa Mungu haswa upande huu wa nyuma kama mimi.
Hata tako liwe dogo namna gani, nitatafuta tu sababu na lenyewe lionekane zuri. Makubwa ndiyo balaa. Utasikia tu moyoni 'Mashallah, ewe Muumba ni fundi kwa hakika'. I must find something positive on the butt!.
Na sitaiacha kamwe.