Ni tabia gani mbaya unayo na unaipenda?

Kuangalia makalio ya wanawake.

Kwa hakika, hakuna binadamu asifiae uumbaji wa Mungu haswa upande huu wa nyuma kama mimi.

Hata tako liwe dogo namna gani, nitatafuta tu sababu na lenyewe lionekane zuri. Makubwa ndiyo balaa. Utasikia tu moyoni 'Mashallah, ewe Muumba ni fundi kwa hakika'. I must find something positive on the butt!.

Na sitaiacha kamwe.
 
Mimi mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…