moi wa kitaa
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 931
- 940
KusengenyaNi ipi tabia ambayo unajua zaidi ni mbaya kwa watu lakini unaipenda na ngumu kuacha
Tuambie basi nawe.....
Sasa na andunje wako sii balaa maana watu wafupi sie nasi kilalamika hatari. 🤣🤣🤣🤣
[emoji1787] yaan anakomaje uzuri yeye sio muongeaji anakaaga zake kimya hadi najishtukia.Sasa na andunje wako sii balaa maana watu wafupi sie nasi kilalamika hatari. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kubishana...Tuambie basi nawe
[emoji2][emoji2][emoji2] ulozi wenye manufaaSijui niseme ulozi? Lakini ulozi sio tabia (mbaya)