Unakumbuka zilitangazwa ajira 13000 za waalimu, watu wakatilia shaka idadi iliyotolewa, ndipo serikali ikasema tumetoa 8000?
Unamwambiaje Lissu na wenzake kuhusu serikali kutaka akatibiwe kwanza Muhimbili na si nje ya nchi baada ya lile shambulio,ulitaka waiamini serikali na kumpeleka Lissu Muhimbili?
Hayo ni machache.