BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Mpaka sasa nimekamilisha kupitia Law societies za nchi kadhaa ila zote nimekuta zinajiensesha zenyewe kwa michango yao, hi ni tofauti na TLS ambayo sasa ni semeu ya Serikali.
Inafikirisha sana pale unapo ona Watu wanao tegemewa kwamba hawa ndio msaada wa mwisho au tumaini la mwisho, wanapo unga juhudi mkono.
Ni sawa na Mzazi unakuwa na Vijana 6 na kati ya hao 5 wote ni mashoga na huyo mmoja ndio unaamini ndio mwanaume wa shoka pekee, ila unavunjwa moyo pale unapo kuja kuambiwa na huyo wa 6 na yeye sio riziki. Sasa ndio ilivyo TLS kwamba hawa ndio wapinga rushwa ndio waoibga takrima ila na wao wanaunga tela.
Hawa ni wanasheria wasomi ambao wanapaswa kusimama na kusaidia kushauri Serikali ila inasikitisha sana kuwakuta wanaunga jududi kwa kununuliwa V8.
Kwamba wanachama wote wanashindwa kuchanga kununua gari sio lazima iwe gari ya anasa.
Hizi gari za anasa ndio wananchi tunazipiga vita make haziendani na hali halisi ya maisha ya watu,Serikali iko adicted na magari ya anasa huku raia wakifa kwa kukosa panado, au maiti zao kushikiliwa mochwari hadi walipe gharama za matibabu. Wakati huo huo Serikali Barabarani kumejaaa magari ya kifahari tupu.
Sasa wale wanao paswa kudaia raia kupaza sauti kuhusu magari ya anasa, na wao ghafla ni sehemu ya tatizo.
Kule Kenya au hata Uganda, mfano, Serikali ya Kenya au Uganda haiwezi jaribu ujinga wa kwenda kuwahonga gari LSK, wale wako radhi watumie pikipipiki ila sio kuunga juhudi.
Soma Pia: TLS yapokea gari jipya kutoka Serikalini. Makamu wa Rais TLS asema msaada huo haumaanishi kuwa chama hicho kimenunuliwa
Law Societiea ni mara 100 hata kupanda Bajaji kwenda kufanya mambo yenu kuliko kukubali kupewa V8.Hii ni mmehongwa mnyamaze kimya. Usitarajie tamko lolote la maana kutoka kwa hawa watu tena.
Watakuwa wanazuga na yale matamko ya kawaida kabisa ya danganya toto.
Pia msisahau walisha pewa Kiwanja na Serikali kule Arusha wajenge offisi zao. Hawa ndio mawakili Wasomi wa Tanzania.